Tanzania logo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

ZOEZI LA UHAKIKI NA UHUISHAJI WA TAASISI ZA KIDINI ZILIZOSAJILIWA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KANDA YA ZIWA KUANZA TAREHE 13 - 18 FEBRUARI 2023



Ofisi ya Msajili wa Jumuiya, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inaendelea na Zoezi la Uhakiki na Uhuishaji wa Vyeti vya Usajili wa Taasisi za Dini zilizosajiliwa na Wizara hii. Zoezi litafanyika Kanda ya Ziwa: Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu, Mara na Kagera kuanzia tarehe 13/02/2023 hadi 18/02/2023.