Mheshimiwa Simbachawene Aapishwa kuwa Waziri

Mheshimiwa George Simbachawene,akiapa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu Jijini Dodoma

Mheshimiwa Khamis Aapishwa kuwa Naibu Waziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Khamis Hamza Khamis kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Ikulu,jijini Dodoma

Christopher Kadio Aapishwa Kuwa Katibu Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Christopher Kadio kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Ramadhani Kailima aapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu

Ramadhani Kailima akiapa mbele ya Rais Dk. John Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Back to Top