Kangi Lugola aapishwa kuwa Waziri

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Kangi Lugola akiapa mbele ya Rais Dk.John Magufuli,Ikulu jijini Dar es Salaam

Meja Jenerali Jacob Kingu aapishwa kuwa Katibu Mkuu

Meja Jenerali Jacob Kingu akiapa mbele ya Rais Dk. John Magufuli,Ikulu jijini Dar es Salaam.

Ramadhani Kailima aapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu

Ramadhani Kailima akiapa mbele ya Rais Dk. John Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Ziara ya Kikazi

Naibu Waziri Mhandisi Hamad Masauni akizungumza wakati wa ufunguzi wa vituo vya polisi vinavyohamishika,mkoa wa kipolisi Kinondoni,jijini Dar es Salaam.

Agizo la Waziri Lugola laanza kutekelezwa

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Meja Jenerali Jacob Kingu akikagua ubora wa pikipiki yenye tela ambayo ililetwa kama mfano ikiwa ni juhudi za Serikali kupambana na ajali

Ziara ya Waziri Lugola Wilayani Kakonko

Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Kakonko, Julius Samwel, akimuonyesha Waziri Kangi Lugola, Jengo la Wilaya hiyo

Ziara ya Naibu Waziri Zanzibar

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Radhiya Rashid Haroub akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni

Uzalishaji Magereza

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiangalia viatu vinavyotengenezwa na Kiwanda cha Jeshi la Magereza

Uzalishaji Magereza

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiangalia viatu vinavyotengenezwa na Jeshi la Magereza

Uzalishaji Magereza

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiangalia samani zinazotengenezwa na Kiwanda cha Jeshi la Magereza

Uzalishaji Magereza

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akiangalia samani zinazotengenezwa na Kiwanda cha Jeshi la Magereza

Taarifa kwa vyombo vya Habari

Sunday, September 1, 2019 | Press Release
Sunday, September 1, 2019 | Press Release
Friday, April 26, 2019 | Press Release
Tuesday, August 7, 2018 | Press Release
Friday, July 13, 2018 | Press Release

Habari Mpya

Back to Top