generica viagra

Dira & Dhima

Dira
Dira ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ni kuwa Wizara ambayo itaifanya nchi yetu kuwa na amani na utulivu, mahali ambapo sheria zinaheshimika.
Dhamira
Dhamira ya Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi ni kulinda maisha na mali, kuwezesha na kuthibiti utokaji na uingiaji nchini kwa raia na wageni, kuwarekebisha wafungwa na kutoa huduma kwa wakimbizi waliopo nchini.

Back to Top